180720_startimesbanner-image_swa_ke

Mbona Mobisol

Bidhaa

 
 
 
 

MaswaliBEI NA MALIPO

/ Jinsi gani naweza lipia mtambo wangu?

Malipo yetu yamerahisihwa kwa kutumia M-PESA au Airtel Money. Malipo yetu ni ya Mipango rahisi na huja katika viwango vya bei nafuu,kuruhusu kila mtu kunufaika na mtambo wetu wa Mobisol. Familia wetu walio nje ya Kenya wanaweza kusaidia wapendwa wao nyumbani kwa kutumia mfumo mbalimbali ya malipo. Hakuna haja ya kusubiri au foleni: Mobisol udhamani haraka na malipo rahisi. Tunaruhusu mkopo wa miezi 48 kwa wateja wetu.


UFUNGAJI, WARANTI NA HUDUMA KWA WATEJA

/ Inachukua Muda gani ili niweze kupata Mtambo wangu?

Unapofanya uamuzi wako wa kufaidika na mtambo wa Mobisol,timu yetu ya mauzo watakuhimiza ujaze fomu ya kufuzu ya mteja. Utahitajika kuwa na Title deed na Kitambulisho chako,iwendapo hauna stakabadhi hizo,jamaa yako wanaweza kukusimamia.Unapofuzu,mtambo wako itatayarishwa na mmoja wa wafanyikazi wetu wa ufundi na itakuwa tayari kuchukuliwa kutoka kwenye duka la mobisol iliyo karibu nawe.

/ Nini hutokea kama mtambo wangu haufanyi kazi?

Endapo mtambo wako haufanyi kazi, unaweza kuwasiliana na customer care wetu kupitia 0730 755 000 au 0709 057 000. Tuna fahari ya kusema kuwa matatizo asilimia 98 yametatuliwa kwa njia ya simu. Ikiwa tatizo lako haliwezi kusuluhishwa mara moja, Mobisol itapanga mkutano na mmoja wa fundi wetu ili aweze kuja nyumbani kwako kutatua shida ya mtambo Bila Malipo.

/ Je, mtambo wangu na vifaa huja na waranti?

Mobisol hukupa waranti ya miaka 4 kwa mtambo wetu (Kontrola, betri na panel) na waranti ya mwaka 1 kwa vifaa vingine. Pia Mobisol hutoa Bure huduma ya customer care kupitia nambari yetu 0730 755 000 au 0709 057 000, na pia msaada wa kifundi. Tuna fahari ya kukudhibitishia wewe mteja wetu mtambo bora na uhandisi wa Ujerumani. Twawajali wateja wetu.


UMILIKI NA UTUMIZI

/ Je, nitamiliki mwambo wangu nikishamaliza kuulipia?

Ndio. Kodi-kumiliki ina maana kuwa baada ya kuulipia kikamilifu mtambo wako wa Sola ya Mobisol, utakuwa umeshamaliza kulipiwa na ni wako bila malipo nyingine. Pia baada ya kukamilisha malipo yako, utapewa cheti chako cha umiliki na kuaga kwaheri bili za umeme milele.

/ Ninawezaje kufaidika na matumizi bora ya mtambo wangu wa Mobisol?

Mobisol inapenda kuwawezesha wateja wake: Unahimizwa kuwa mwanabiashara kwa kutumia Mobisol kwa kuchaji simu za jirani wako. Pia sisi hutuza wateja wetu Ksh. 2000 wanapopendekeza mtambo wetu kwa mteja mpya.


Careers

Mawasiliano


   

Piga 0730 755 000 au 0709 057 000

 

Masaa ya Kazi: Jumatatu hadi Jumamosi: 8:00 asubuhi hadi 9:00 jioni

Jumapili: 11:00 asubuhi hadi 9:00 jioni

jambo@mobisolkenya.co.ke

 

twitterfacebookinstagram

Mobisol Kenya